Wednesday, March 10, 2010
   
Text Size

Tafuta kwenye Website hii

Man U waitandika Arsenal 3-1

Ligi ya Uingereza inaendelea kupamba moto huku Manchester United wakiimarisha nafasi yao ya kubeba kombe hilo kwa kuitandika Arsenal mabao 3-1 kwenye uwanja wa Emirates.

Hadi kipindi cha mapumziko Man U walikuwa wanaongoza kwa 3-0.

Kipa wa Arsenal Manuel Almunia alijifunga, Wayne Rooney akaongeza la pili na Ji-Sung Park la tatu.

Mnamo kipindi cha pili, Arsenal walijaribu kutimua vishindo kiasi cha kujipatia kifuta jasho kupitia mlinzi Vermaelen.

Katika mechi za awali Manchester City waliitandika Portsmouth 2-0, mabao ambayo yalifungwa na Emmanuel Adebayor pamoja na Vincent Kompany.

Portsmouth wanashikilia mkia kwenye ligi kuu huku matatizo ya fedha pia yakiendelea kuwazonga.

Comments
Add New Search
The Don  - I was very Frastruated   |216.147.135.xxx |2010-02-05 02:39:29
Im a Fan of Asernal, the game real destroy my happyness but hope we can make it
on sunday, we r waiting 4 chelsea!
The Don  - Pain   |216.147.135.xxx |2010-02-05 02:41:27
The game real fratsruate me, im a fan of Arsenal, but still we can make it, we r
waiting 4 chelsea those wgo called Blues, we gonna beat chelsea, viva fans of
Arsenal, viva Arsenal!
The Don   |216.147.135.xxx |2010-02-05 02:41:48
The game real fratsruate me, im a fan of Arsenal, but still we can make it, we r
waiting 4 chelsea those wgo called Blues, we gonna beat chelsea, viva fans of
Arsenal, viva Arsenal!
The Don   |216.147.135.xxx |2010-02-05 02:42:05
The game real fratsruate me, im a fan of Arsenal, but still we can make it, we r
waiting 4 chelsea those wgo called Blues, we gonna beat chelsea, viva fans of
Arsenal, viva Arsenal!
Write comment
Name:
Email:
 
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Login Form