Thursday, September 09, 2010
   
Text Size

Tafuta kwenye Website hii

Airbus yapata soko la kuuza ndege

Sekta ya usafiri wa ndege inaonekana kuimarika tena kutokana na kampuni ya kutengeneza ndege barani Ulaya ya Airbus kufikia makubaliano ya kibiashara ya kuuza ndege katika maonyesho ya ndege yanayofanyika nchini Uingereza.

 

Kampuni hiyo imepata soko la kuuza ndege 255 zenye thamani inayokadiriwa kufikia Euro bilioni 22. katika zabuni hiyo ziko zaidi ya ndege 100 chapa A320s.

Kampuni ya Airbus sasa inatarajiwa kuvuka kiwango cha lengo la uuzaji wa idadi hiyo ya ndege kilichokuwa kimewekwa kwa mwaka huu kwa zaidi ya theluthi. Shirika la ndege la Boeing hadi sasa limepata soko la kuuza ndege 245.

Comments
Add New Search
Write comment
Name:
Email:
 
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Habari Motomoto

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20

Login Form