Tanroads yaanzisha mchakato wa mradi wa mabasi ya kasi
Hatimaye Wakala wa Barabara nchini (Tanroads), umetangaza nia ya kutekeleza mradi wa magari ya mwendo kasi kwa kutangaza tenda kwa ajili ya kumpata mkandarasi atakayejenga barabara zitakazotumiwa na magari hayo.
Tangazo la tenda ya mradi huo lililotolewa jana na Tanroads lilieleza kuwa awamu ya kwanza ya ujenzi itahusisha upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara hadi Magomeni.
Lilieleza kuwa kipande hicho chenye urefu wa kilometa 10.9 kitahusisha ujenzi wa vituo 15 vikubwa vya magari, vituo viwili vya magari na madaraja mawili ya waenda kwa miguu.
Tangazo la tenda hiyo lilifafanua kuwa utekelezaji wa mradi huo utahusisha pia ujenzi wa vipande vya barabara kutoka Magomeni hadi Kivukoni, Magomeni hadi Morocco na Fire hadi Kariakoo.
Tanroads katika tangazo lake hilo imeeleza kuwa barabara hizo zitahusisha ujenzi wa vituo 14 vya magari, kituo kimoja cha magari hayo, daraja la waenda kwa miguu na kwamba mkandarasi atatakiwa kuzingatia miundombinu ya maji na huduma za mawasiliano.
Kwa mujibu wa tangazo hilo, kazi hiyo itatekelezwa kwa miezi 24 baada tu ya mshindi kutangazwa.
Mradi wa magari ya mwendokasi unatazamiwa kuwa utasaidia kupunguza foleni jijini Dar es Salaam na kumaliza adha ya usafiri kwa wakazi wa Jiji.
| Comments |
|
3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."
Habari Motomoto
-
JK aahidi kuanzisha programu ya malisho Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete,...
-
Kesi ya Mramba ya nguruma Kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia hasara serikali...
-
Maelfu wajitokeza kumuaga Kalumuna Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiwemo watu wenye ulemavu jana...
-
CCM yazuia wagombea kushiriki midahalo TBC CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewazuia wagombea wake wa ubunge kushiriki...
-
Mchungaji amfyeka vidole mtoto kanisani MTOTO wa kike aliyetajwa kwa jina la Anna Danken (17) wa Kijiji ...
-
ZEC yaanza kusilikiza pingamizi mgombea CUF Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), imeanza kusikiliza rufaa ya mgombea...
-
JK: Vyama vya upinzani vya msimu MGOMBEA urais kupitia CCM, Jakaya Kikwete ameviponda vyama vya upinzani...
-
Profesa Baregu avamiwa garini Mwenyekiti wa kamati ya kampeni ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
-
Mikoa 14 kukumbwa na ukame Baa la njaa linainyemelea Tanzania kutokana na utabiri wa hali ya...
-
Gari la mkuu wa kampeni Chadema lavunjwa vioo MWENYEKITI wa Kamati ya Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
-
Walimu mbaroni wizi wa mitihani ya darasa la sab WALIMU wakuu na wasimamizi wa mitihani, wanashikiliwa na polisi na...
-
Mahakama: Chenge ana kesi ya kujibu Mahakama ya wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam imesema mgombea...
-
Vyama 15 vyasaini rasimu ya mwongozo wa maadili Z`bar Viongozi wa vyama 15 vya siasa jana walisaini rasimu ya mwongozo...
- 1
- 2
- 3
- 4
- 5
- 6
- 7
- 8
- 9
- 10
- 11
- 12
- 13
- 14
- 15
- 16
- 17
- 18
- 19
- 20
Zilizosomwa Sana
- Schorlaships
- MAJINA YA WANAFUNZI 33658 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA UFUNDI NA CHUO CHA MAJI MWAKA 2010
- United States
- CHAKULA CHA USIKU: WAHANGA SASA NI WANAWAKE! - Mwambie, usione haya
- Dawa za Kuongeza Ufanisi wa Mwanaume Kitandani Zazinduliwa
- AFYA! AFYA! Mambo yote muhimu haya hapa
- Europe
- ***BREAKING NEWS: Watuhumiwa wote kesi ya ZOMBE waachiliwa huru!!!***
- Advertisement Plan
- Australia
- Aliyefumwa akibaka bintiye ala kichapo
- Man Utd ushindi sasa basi
- Ratiba ya Ligi Kuu Uingereza 2010/2011
- Chanjo ya HIV yapunguza maambukizi
- Wanafunzi walioteketea kuzikwa kaburi moja leo
- Japan

