Saturday, July 31, 2010
   
Text Size

Tafuta kwenye Website hii

Kamanda wa Hizbul Islam auwawa Mogadishu

Kamanda wa ngazi ya juu wa kundi la wapiganaji wa kiislamu la Hizbul Islam nchini Somalia, Bare Ali Bare, amepigwa risasi na kuuwawa mjini Mogadishu hii leo. Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo, mtu asiyejulikana aliyekuwa

amejihami na bunduki amempiga risasi kamanda huyo katika soko la Bakara, eneo ambalo ni ngome ya wanamgambo wa Kiislamu.

Hadi sasa hakuna kundi lolote lililodai kuhusika na mauaji ya kamanda Bare, lakini kundi la Hizbul Islam limekuwa likipigana na wanamgambo wa kundi la al Shaabab kung“ang“ania udhibiti wa Somalia. Bare aliwahi kukosoa muungano kati ya kitengo cha kundi la Hizbul Islam na kundi la al Shaabab.

Comments
Add New Search
Write comment
Name:
Email:
 
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Habari Motomoto

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20

Login Form