Saturday, July 31, 2010
   
Text Size

Tafuta kwenye Website hii

Iran iko tayari kushirikiana na IAEA

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran, Manouchehr Mottaki amesema nchi hiyo iko tayari kuendeleza ushirikiano wake na Shirika la Umoja wa Mataifa la Nguvu za Atomiki-IAEA, kuhusu mpango wake wa nyuklia.

Akizungumza mjini Geneva,

Uswisi, Mottaki aliongeza kuwa nchi yake haijapotosha kuhusu shughuli zake za kawaida za kinyuklia na kwamba Iran imepokea kwa furaha mazungumzo zaidi na mataifa yenye nguvu duniani.

Mkuu wa IAEA, Yukiya Amano jana alisema kuwa Iran bado haitoi ushirikiano wa kutosha kuhusu shughuli zake za kinyuklia, lakini mpango kuhusu madini ya uranium bado uko katika majadiliano.

Comments
Add New Search
Write comment
Name:
Email:
 
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Habari Motomoto

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20

Login Form