Saturday, July 31, 2010
   
Text Size

Tafuta kwenye Website hii

Al Shabaab wafurusha wafanyikazi wa WFP, Somalia

Kundi la wapiganaji wa kislamu nchini somalia, Al-shabaab, wameamrisha shirika la Umoja wa Mataifa wa mpango wa chakula, WFP, kusimamisha shughuli zake na kuondoka nchini humo.

Kundi hilo linalodhibiti maeneo mengi ya

kusini mwa nchi hiyo, limesema kuwa litachukua hatua dhidi ya raia yeyote wa Somalia anayeshirikiana na shirika hilo la WFP.

Kundi hilo limesema WFP linaangamiza wakulima nchini humo kwa kusambaza chakula cha bure nchini humo.

Comments
Add New Search
Write comment
Name:
Email:
 
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Habari Motomoto

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20

Login Form