Saturday, July 31, 2010
   
Text Size

Tafuta kwenye Website hii

Wananchi wa Tajikistan wawachagua wabunge

Kiasi asilimia 80 ya watu wanaoruhusiwa kupiga kura wamepiga kura katika uchaguzi wa wabunge nchini Tajikistan. Licha ya wananchi kutoridhika na utawala wa miaka 17 wa Rais Imomali Rakhmon wa nchi hiyo, mchambuzi anatarajia kuwa chama

cha rais huyo kitaendelea kushikilia viti vingi bungeni.

Waangalizi wa uchaguzi wa nchi za Magharibi, hawajawahi kuuona uchaguzi wa taifa hilo la zamani la kisovieti unakuwa huru na wa haki.

Aidha, wagombea wa upinzani wamedai kuwa  kuna mifano mbalimbali ya ukiukaji wa taratibu za uchaguzi huo uliofanyika jana Jumapili. Wagombea hao wametaja taratibu zilizokiukwa kuwa ni pamoja na watu kupiga kura mara mbili na kuwaweka waangalizi wa uchaguzi mbali na vituo vya kupigia kura.

Comments
Add New Search
Write comment
Name:
Email:
 
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Habari Motomoto

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20

Login Form