Watu 708 wauawa kwa tetemeko la ardhi Chile
Rais Michelle Bachelet wa Chile amesema idadi ya watu waliouawa kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea siku ya Jumamosi nchini humo ni kiasi 708. Serikali ya Chile pia imekiri kuwa ilifanya makosa mwanzo kutotangaza hali ya hatari ya kutokea mawimbi ya tsunami,
yaliyosababisha vifo vingi katika eneo la pwani mwa nchi hiyo.
Tahadhari ya kutokea mawimbi ya tsunami katika eneo zima la Bahari ya Pacific, imeondolewa. Wakati huo huo serikali ya Chile imetangaza amri ya kutotembea katika mji wake mkuu wa pili wa Concepcion na mikoa inayouzunguka mji huo ambako uporaji ulitokea.
Rais Bachelet ametoa wito kwa wananchi kuwa watulivu na amesema maafisa wanagawa chakula, maji na misaada muhimu kwa karibu watu milioni mbili walioathirika na tetemeko hilo la ardhi. Tetemeko hilo la ardhi lilikuwa na kipimo cha richta 8.8.
| Comments |
|
3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."
Habari Motomoto
-
Mtoto akutwa amekufa kwenye banda la video WATU wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti jijini...
-
Takukuru yaendelea kukusanya ushahidi Upelelezi wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliokamatwa...
-
Kampeni za matusi zawachefua Iringa Baadhi ya wakazi wa Jimbo la Iringa Mjini wamelaani vikali vitengo...
-
Z`bar kuanza kampeni kwa kishindo baada ya Mfungo Vyama vya siasa Zanzibar vimejiandaa kuzindua kampeni za uchaguzi...
-
77, 000 kufanya mtihani wa taifa wa darasa la saba Mbeya Wanafunzi 77,142 wa darasa la saba mkoani hapa, wanatarajia kufanya...
-
Kinondoni yaongoza wizi wa magari nchini WILAYA ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imetajwa kuwa ndiyo inayongoza...
-
Polisi Tz, Interpol wakamata magari 50 ya wizi JESHI la Polisi Nchini kwa kushirikiana na Makao Makuu ya Shirikisho...
-
DK Slaa amvaa mke wa Kikwete KAMPENI za uchaguzi mkuu zimezidi kunoga baada ya mgombea urais wa...
-
Waziri Masha apata mpinzani Boniface Meena na Geofrey Nyang'oro WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Lawrence...
-
Ugaidi, uharamia tishio kwa uchumi Afrika-Karume Rais wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, amesema ugaidi, uharamia na...
-
Helikopta ya Slaa yapata tabu kutua Mpwapwa HELIKOPTA ya mgombea urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia ...
-
DK Bilal ataka wanaCCM waige kutoka kwake Mgombea Mwenza wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
-
Shein aongoza mamia mazishi ya Mufti Z`bar Makamu wa Rais, Dk. Ali Mohammed Shein, jana aliwaongoza mamia ya...
- 1
- 2
- 3
- 4
- 5
- 6
- 7
- 8
- 9
- 10
- 11
- 12
- 13
- 14
- 15
- 16
- 17
- 18
- 19
- 20
Zilizosomwa Sana
- Schorlaships
- MAJINA YA WANAFUNZI 33658 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA UFUNDI NA CHUO CHA MAJI MWAKA 2010
- United States
- CHAKULA CHA USIKU: WAHANGA SASA NI WANAWAKE! - Mwambie, usione haya
- Dawa za Kuongeza Ufanisi wa Mwanaume Kitandani Zazinduliwa
- AFYA! AFYA! Mambo yote muhimu haya hapa
- Europe
- ***BREAKING NEWS: Watuhumiwa wote kesi ya ZOMBE waachiliwa huru!!!***
- Advertisement Plan
- Australia
- Aliyefumwa akibaka bintiye ala kichapo
- Man Utd ushindi sasa basi
- Ratiba ya Ligi Kuu Uingereza 2010/2011
- Chanjo ya HIV yapunguza maambukizi
- Wanafunzi walioteketea kuzikwa kaburi moja leo
- Japan

