Saturday, July 31, 2010
   
Text Size

Tafuta kwenye Website hii

ya kushindikana mazungumzo hayo

Rais Barack Obama alifanya kongamano la saa saba na wanasiasa wa Republican katika jaribio la kuwashawishi waunge mkono mpango wake wa bima ya afya.

Lakini baada ya mkutano huo wapinzani hao walisalia na msimamo ule ule. Seneta mmoja

wa Republican Lamar Alexander alimweleza Rais Obama kuwa kongamano lake lilikuwa kama muuzaji wa magari anayejaribu kuuza gari lile lile lililokataliwa hapo awali.

Kufuatia msimamo huo Rais Obama amesema atalazimika kusonga mbele na mpango wake hata kama chama cha Republic kitakataa kumuunga mkono.

Rais huyo wa Marekani anapendekeza mfumo ambao utawaruhusu zaidi ya Wamarekani milioni 30 zaidi kupata Bima ya afya.

Mpango huo utagharimu serikali ya Marekani takriban dola bilioni 50 kila mwaka, kiasi ambacho warepublican wanasema ni cha juu sana kwa walipa kodi wa Marekani.

Comments
Add New Search
Write comment
Name:
Email:
 
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Habari Motomoto

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20

Login Form