Saturday, July 31, 2010
   
Text Size

Tafuta kwenye Website hii

Mazungumzo kuhusu benki za Iceland yakwama

Mazungumzo ya mwisho kuhusu jinsi Iceland inavyoweza kutoa fidia kwa Waingereza na Waholanzi waliopoteza akiba zao baada ya benki za Iceland kufilisika mwaka 2008, yamekwama. Hatua ya kushindikana mazungumzo hayo

inamaanisha kuwa kura ya maoni juu ya suala hilo sasa itafanyika.

Maafisa kutoka nchi zote tatu walikuwa wanakutana mjini London kuona namna watakavyokubaliana jinsi ya kurudisha fedha zilizotumiwa na Uingereza na Uholanzi kuwalipa fidia wananchi wao waliokuwa na akiba katika benki ya akiba ya IceSave na Landsbanki zilizofilisika mwaka 2008, ikiwa ni sehemu ya athari za mzozo wa kiuchumi duniani.

Comments
Add New Search
Write comment
Name:
Email:
 
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Habari Motomoto

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20

Login Form