Saturday, July 31, 2010
   
Text Size

Tafuta kwenye Website hii

Gadhafi ataka vita vya jihad dhidi ya Uswisi

Kiongozi wa Libya, Muamar Gadhafi amewatolea mwito Waislamu wote kuanzisha vita vitakatifu vya jihad dhidi ya Uswisi kufuatia hatua yake ya kupiga marufuku ujenzi wa minara kwenye misikiti ya nchi hiyo. Gadhafi pia ametaka kususiwa kwa bidhaa za

Uswisi.

Mwezi Novemba mwaka uliopita, wapiga kura nchini Uswisi waliidhinisha sheria ya kupiga marufuku ujenzi wa minara nchini humo, kupitia kura ya maoni. Uamuzi huo wenye utata unazusha hofu juu ya uwezekano wa kuzuka uhusiano mbaya kati ya Uswisi na jamii ya Kiislamu.

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Uswisi, Lars Knuchel alikataa kuzungumzia wito huo uliotolewa na Gadhafi wa kuanzishwa vita vitakatifu dhidi ya nchi hiyo.

Comments
Add New Search
Mutalemwa  - Yote haya ya nini?   |212.165.169.xxx |2010-02-26 02:38:43
Kila nchi ina sheria zake, kutokana na na tamaduni zao na utaratibu wa kimaisha.
sidhani kama saudi arabia wanaweza kukubali madhahebu mengine yajenge majumba
yenye utamaduni na taratibu zinazokiuka utamaduni na taratibu zao. Gadafi
unatakiwa uelewe kuwa ile sio libya.
Write comment
Name:
Email:
 
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Habari Motomoto

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20

Login Form