Saturday, September 04, 2010
   
Text Size

Tafuta kwenye Website hii

Wanachama wa kundi lililopigwa marufuku Uturuki, wakamatwa

Polisi nchini Ujerumani imewakamata wanachama wawili wa kundi la mrengo wa shoto la Uturuki ambalo lilipigwa marufuku. Waendesha mashitaka wamesema kuwa watu hao wote wanaume, walikamatwa baada ya ukaguzi

katika nyumba saba katika miji ya Cologne na Duesseldorf.

Watu hao wanatuhumiwa kuwa wanachama wa ngazi ya juu wa kundi la Revolutionary People's Liberation Front, ambalo Umoja wa Ulaya na Marekani imelitaja kama kundi la kigaidi. Kundi hilo linalofuata siasa za Karl Marx linataka kuipindua serikali ya Uturuki na kuanzisha utawala wa kikomunisti. Kundi hilo lilidai kuhusika na mauaji kadhaa pamoja mashambulio tangu miaka ya 1970.

Comments
Add New Search
Write comment
Name:
Email:
 
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Habari Motomoto

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20

Login Form