Saturday, July 31, 2010
   
Text Size

Tafuta kwenye Website hii

Askofu Kaessman amejiuzulu

Kiongozi wa Kanisa la Kilutheri hapa nchini Ujerumani, Askofu Margot Kaessman amejiuzulu baada ya kupatikana na hatia ya kuendesha gari akiwa mlevi. Askofu Margot alikamatwa na polisi mjini Hannover, siku ya Jumamosi, alipokosa kusimama katika alama

ya taa nyekundu na baadaye ikagunduliwa kiwango cha ulevi katika damu kilikuwa cha juu mno, mara tatu ya kile kinachoruhusiwa.

Baraza la uongozi katika Kanisa la Kiprotestanti awali walitoa taarifa kuwa viongozi wake 14 bado wana imani na Kaessman na wanamtaka aendelea kuhudumu.

Comments
Add New Search
Write comment
Name:
Email:
 
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Habari Motomoto

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20

Login Form