Saturday, July 31, 2010
   
Text Size

Tafuta kwenye Website hii

Uturuki yawakamata watu wengine 3 kuhusu mapinduzi

Mahakama moja nchini Uturuki imeagiza kukamatwa kwa watuhumiwa wengine watano, kuhusiana na madai ya kupanga njama ya kuipindua serikali ya nchi hiyo inayoegemea maadili ya Kiislamu.

Agizo hilo linafikisha idadi

ya maafisa wa ngazi za juu wa jeshi la nchi hiyo waliokamatwa kufikia 12. Miongoni mwa wanaozuiliwa ni Viongozi watano wakuu wa jeshi la wanamaji, Generali mmoja wa kijeshi pamoja na maafisa sita wa ngazi za juu jeshini.

Maafisa wote hao wanashtakiwa kwa kupanga njama ya kuipindua serikali ya Waziri Mkuu Tayyip Erdogan. Maafisa wengine 50 wa jeshi, ikiwemo wakuu wa zamani wa jeshi la wanamaji na jeshi la angani walikamatwa tangu siku ya Jumatatu.

Comments
Add New Search
Write comment
Name:
Email:
 
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Habari Motomoto

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20

Login Form