Saturday, July 31, 2010
   
Text Size

Tafuta kwenye Website hii

Dubai yawataja washukiwa wengine 15, kuhusiana na mauaji.

Polisi huko Dubai imetoa majina ya watuhumiwa wengine 15, huku wakiendelea na uchunguzi wao kuhusiana na mauaji ya Kiongozi wa ngazi za juu wa kundi la Kipalestina la Hamas.

Watuhumiwa hao wapya, wanasemakana

walikuwa wanatumia  pasi za kusafiria za Ireland, Uingereza, Ufaransa na Australia.

Dubai pia imesema sasa ina uhakika kabisa kuwa Shirika la Kijasusi la Israel, Mossad lilihusika na mauaji hayo ya Mahmoud al-Mabhouth Kamanda mkuu wa Hamas kutoka Gaza. Kutolewa kwa majina hayo mapya sasa kunafikisha idadi ya watuhumiwa katika kesi hiyo, kutimu watu 26, baada ya polisi huko Dubai kutoa majina 11 mapema mwezi huu

Comments
Add New Search
Write comment
Name:
Email:
 
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Habari Motomoto

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20

Login Form