Saturday, July 31, 2010
   
Text Size

Tafuta kwenye Website hii

NATO yaomba radhi kwa mauaji ya raia Afghanistan.

Viongozi wakuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO wameomba radhi kufuatia shambulizi la angani lililowaua raia 27, kimakosa kusini mwa Afghanistan siku ya Jumapili.

Kamanda Mkuu wa majeshi ya Marekani, Generali

Stanley McChrystal, ambaye ni Kamanda wa NATO Afghanistan amemuahidi Rais Hamid Karzai kuwa watazidisha juhudi ili raia wa Afghanistan waweze kuwa na imani na NATO.

Katibu Mkuu wa NATO Anders Fogh Rasmussen pia alituma rambi rambi zake alipozungumza kwa njia ya simu na rais Karzai. Serikali ya Karzai inawataka wanajeshi wa NATO kuwa waangalifu katika operesheni zao ili kuzuia mauaji ya raia wa kawaida.

Comments
Add New Search
Write comment
Name:
Email:
 
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Habari Motomoto

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20

Login Form