Saturday, July 31, 2010
   
Text Size

Tafuta kwenye Website hii

Umoja wa Ulaya waiewekea Zimbabwe vikwazo zaidi.

Mawaziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Umoja wa Ulaya wanaokutana mjini Brussels wametangaza wameongeza muda wa vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa Zimbabwe na Umoja huo kwa mwaka mwingine mmoja zaidi.

 

Wakitangaza kuwa serikali ya kimabavu ya Rais Robert Mugabe haijapiga hatua za kuridhisha za kidemokrasia, Umoja huo wa Ulaya pia uliongeza muda wa vikwazo vya kusafirisha silaha, pamoja na marufuku ya usafiri na vile vile kushikiliwa kwa mali ya washirika wakuu wa Rais Mugabe.

Hata hivyo Umoja wa Ulaya ulisema huenda ukavipitia upya vikwazo hivyo iwapo Rais Mugabe atatekeleza mageuzi ya kidemokrasia yanayopigiwa upatu na Waziri Mkuu Morgan Tsvangirai.

Comments
Add New Search
Write comment
Name:
Email:
 
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Habari Motomoto

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20

Login Form