Dawa za Kuongeza Ufanisi wa Mwanaume Kitandani Zazinduliwa
![]() |
Tatizo la wanaume kuwahi kufika kileleni mapema ambalo huzua hofu kwa wanaume wengi sana duniani kiasi cha wengine kwenda kwa waganga kutafuta tiba limepatiwa ufumbuzi baada ya dawa ambayo inasemekana inaongeza ufanisi mara tatu zaidi kuzinduliwa nchini Ufaransa. |
|
| Tatizo la wanaume kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa kujamiiana ambalo huwatia hofu mamilioni ya wanaume wengi duniani limepatiwa dawa kwa mara ya kwanza. Tatizo hili huwanyima raha wanaume wengi kwani mwanaume anapowahi kufika kileleni mapema kabla ya mpenzi wake humwacha mwanamke akiwa bado hajafikia hitimisho la raha ya kujamiiana. Wanaume wenye tatizo hili ili wasiaibike kitandani mbele ya wapenzi wao wamekuwa wakihaha kutafuta dawa za kuwafanya waweze kuwaridhisha wapenzi wao, kuna wanaume wengine hufikia hatua za kwenda kwa waganga kutafuta tiba. Dawa za kutibu tatizo hilo zimezinduliwa kwenye kongamano la tatu la matibabu ya magonjwa ya jinsia linalofanyika nchini Ufaransa. Dawa hizo mpya ambazo zimepewa jina la "Priligy" zimetengenezwa kwa kutumia madawa ya Dapoxetine ambayo yamegundulika kuonyesha ufanisi mkubwa katika kuchelewesha mwanaume kufika kileleni mapema. Wanaume waliotumia dawa hizo wakati wa majaribio ufanisi wao kitandani unasemekana uliongezeka kwa mara tatu zaidi. Dawa hizo zimethibitishwa rasmi ufanisi wake na vyombo vya afya nchini Austria, Finland, Ujerumani, Italia, Hispania, Sweden na Ureno. Prof. Jacques Buvat wa taasisi iliyovumbua dawa hizo alisema kuwa dawa zinaweza zikatumiwa na wanaume wenye umri kati ya miaka 18 na 64 na hazina madhara yoyote katika kusimama kwa uume. Prof Buvat alisema kuwa wanaume wengi hufika kileleni kati ya dakika moja na dakika kumi. " Kwa wastani muda unaokubalika ni kati ya dakika nne na tano, wanaume wanaofika kileleni ndani ya dakika moja au chini ya dakika moja huhesabika wana tatizo la kufika kileleni mapema". "Tatizo la wanaume kuwahi kufika kileleni mapema huwatokea wanaume wengi zaidi kuliko tatizo la kusimama vyema kwa uume". "Wanaume wengi huwa hawapendi kuzungumzia tatizo hili na asilimia 40 ya wanaume hutumia pombe kama njia ya kutatua tatizo hilo" alisema. |
||
| Comments |
|
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
Powered by !JoomlaComment 3.26
3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."
Habari Motomoto
-
Mahakama: Chenge ana kesi ya kujibu Mahakama ya wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam imesema mgombea...
-
Vyama 15 vyasaini rasimu ya mwongozo wa maadili Z`bar Viongozi wa vyama 15 vya siasa jana walisaini rasimu ya mwongozo...
-
Mrufani aongezewa adhabu ya viboko Mahakama ya rufaa Tanzania imemuongea adhabu Mathias Mhagama, aliyepinga...
-
Tanesco yalalamikia vituo bandia vya Luku Shirika la Umeme nchini (Tanesco) limesema kuna ongezeko la vituo...
-
Chadema: Hatutaki siasa za maji taka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakina muda...
-
CCM na Chadema Moshi jino kwa jino Mkutano kati ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Lucas Ng’hoboko...
-
Tendwa aiduwaza Chadema Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa, ametupilia mbali pingamizi...
-
Chagueni viongozi pasipo kuangalia vyama-Mdee Mgombea ubunge wa jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
-
Wanawake wanaougua akili wananyanyasika Wanawake wanaougua ugonjwa wa akili, wananyanyasika kutokana na...
-
Slaa, Dk Bilal uso kwa uso Mwanza Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...
-
Mtihani darasa la saba wafanyika kwa utulivu Mtihani wa darasa la saba ulioanza jana kote nchini, ulifanyika katika...
-
Vurugu zaibuka Moshi, Iringa Watu watano wamekamatwa na Polisi mkoani hapa, wakihusishwa na vurugu...
-
Takukuru yapigwa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), imezidi kubanwa...
- 1
- 2
- 3
- 4
- 5
- 6
- 7
- 8
- 9
- 10
- 11
- 12
- 13
- 14
- 15
- 16
- 17
- 18
- 19
- 20
Zilizosomwa Sana
- Schorlaships
- MAJINA YA WANAFUNZI 33658 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA UFUNDI NA CHUO CHA MAJI MWAKA 2010
- United States
- CHAKULA CHA USIKU: WAHANGA SASA NI WANAWAKE! - Mwambie, usione haya
- Dawa za Kuongeza Ufanisi wa Mwanaume Kitandani Zazinduliwa
- AFYA! AFYA! Mambo yote muhimu haya hapa
- Europe
- ***BREAKING NEWS: Watuhumiwa wote kesi ya ZOMBE waachiliwa huru!!!***
- Advertisement Plan
- Australia
- Aliyefumwa akibaka bintiye ala kichapo
- Man Utd ushindi sasa basi
- Ratiba ya Ligi Kuu Uingereza 2010/2011
- Chanjo ya HIV yapunguza maambukizi
- Wanafunzi walioteketea kuzikwa kaburi moja leo
- Japan


