Saturday, July 31, 2010
   
Text Size

Tafuta kwenye Website hii

Aliyefumwa akibaka bintiye ala kichapo

Wananchi wenye gazab ya kufa mtu ktk kijiji cha Igombe wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza juzi walimtandika ile kisawasawa mkazi wa mmoja kijiji hicho kwa tuhuma za kumla uroda binti yake wa mika 17 tena bila idhini (kubaka).

Taarifa kutoka jiji hilo maarufu kwa jina la Rock City,mtuhumiwa Bozi Benjamini (45) anadaiwa kumbaka binti yake juzi majira ya saa 11:00 alfajiri wakiwa nyumbani kwao mbele ya wadogo zake wawili bila kuona aibu na kumsababishia maumivu makali ktk nyeti zake.

Taarifa hizo ziliendelea kueleza kuwa dingi hilo lenye uchu linaishi bila wife na inadaiwa kuwa sio mara ya kwanza kumwingilia binti yake kwa nguvu ambaye siku za nyuma alilazimika kutoroka nyumbani hapo kutokana na vitendo vichafu vya baba yake.

Inaelezwa kuwa siku ya tukio wakati dingi akifanya ufirauni huo binti huyo na wadogo zake walipiga kelele na ndipo wananchi walipojitokeza kuwasaidia na kwamba wananchi hao walianza kumshushia kipigo cha nguvu na baadaye kumpeleka kituo cha polisi.

Binti huyo alikimbiziwa hospitali ya mkoa ya Sekou Toure kwa ajili ya matibabu na kwamba hali yake kwa sasa inaendelea vizuri.

Comments
Add New Search
jacqueline  - mama watatu   |196.45.46.xxx |2009-08-29 05:28:34
aaaaaaaaaaahhhhhh! wananchi wamefanya jambo jema kwani yaonekana zee hilo
lililonyimwa hata aibu ya nyongeza na shetani limeshazoea hali hiyo hata kufikia
hatua ya kumbaka mbele ya wadogo zake? kweli lahitaji kichapo heavyyyy
secreto  - isango   |196.45.46.xxx |2009-08-29 05:46:13
Ebwana hiyo kali mtoto wake mwenyewe pia!!! inaelekea sikunyingi alikuwa
anamtamani.Hiyo mbaya sana wananchi hongereni kwa kumsulubu.Wanawake wote
waliojaa anabaka.Nomaaaaaa.
comte  - noma   |41.223.228.xxx |2009-11-17 06:49:19
Duh! afadhali udandie changudoa kuliko fedhea kama hiyo.Inaonekana mtoto wake
alikuwa na mzuri sana hadi akaona afadhali kutafun kuku na mayai yake.Hilo jamaa
jinga sana sasa kama lingempa mimba lingeitwa baba au babu? Duh! ha!ha!ha! ha!
haaaaaa!
anna  - zinza   |41.221.46.xxx |2010-02-05 02:30:10
Kweli watu aibu zimewaisha inaonyesha dhahili kwani kitendo hicho ni cha aibu
sana mzee utaozea jera na unaacha familia yako katika shida tumrudie mungu
tupate kupona.
john msomi  - kisago   |74.210.50.xxx |2010-07-03 22:56:39
duuuuuhhhhhhhh ama kweli dunia imekwisha, kwanini? na yeye asilatiwe na hao
wasamaria wema ingekuwa vizuri kwanza wamlawiti yeye halafu wamnyonge maana
hafai kukaa na raia wema anafaa afe.
Write comment
Name:
Email:
 
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Habari Motomoto

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20

Login Form